Blandina Chagula 'Johari' ambaye ni mmoja wa washiriki wa filamu mpya ya Wrong Hope amewaponda wasanii wa filamu wanaokubali kukatishwa viuno mbele ya hadhara na kueleza kwamba kamwe kwa upande wake hawezi kufanya jambo hilo hata kwa malipo namna gani...!!!
"Siwezi kujidhalilisha mbele ya umati kwa kukata kiuno, ni ulimbukeni tu kukata viuno
↧