Tumezoea kuona wasanii wa Tanzania wakiomba kufanya collabo na
wasanii wakubwa wa kimataifa kwa lengo la kujitangaza kimataifa, lakini
Diamond Platnumz amefikia hadhi ya yeye kuombwa collabo na wasanii
wakubwa.
Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limemuomba hit maker wa ‘Number
1′ Diamond Platnumz afanye nao collabo, na jana (June 9) waliingia
katika studio ya Oskido iliyoko
↧