Unapozungumzia warembo wazuri ndani ya jiji la Dar es Salaam ni wazi kwamba huwezi kuacha kulitaja jina la Agness Gerald maarufu kama Masogange. Jina lake limekuwa kubwa sana kutokana na mrembo huyu kujishughulisha na upambaji wa video za wasanii mbalimbali wa bongo fleva......
Historia ya Masogange:
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Masogange
↧