Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka juzi alinusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Bukoba kwenda Dodoma kupata ajali kwa kugonga punda katika Kijiji cha Wendele wilayani Kahama, mkoani Shinyanga.
Ajali hiyo ilitokea juzi saa 11.07 jioni likijumuisha gari namba STK 5857 alilokuwa akisafiria Waziri huyo akiwa na familia yake likiendeshwa na
↧