Mwanzoni mwa wiki hii, Nuh Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole aka
ShiShi Baby alijichora tattoo ya kudumu yenye jina la Shilole.
Akiongea na The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Nuh Mziwanda alisisitiza
kuwa tattoo aliyochora ni ya kudumu na kwamba atakufa akiwa na tattoo
hiyo.
Aliongeza kuwa hata kama Shilole atakuja kumuacha yeye hajali
kitakachotokea anachojali ni kuwa anampenda
↧