Emmanuel Mbasha, mume wa mwimbaji wa injili Flora Mbasha hivi
karibuni aliwashituwa watu mbalimbali baada ya kutuhumiwa kumbaka binti
ambaye awali alitajwa kama mdogo wake Flora.
Akiongea na Global TV, Flora Mbasha amezungumzia tuhuma hizo na
kuelezea kuwa kabla ya kufanya tukio hilo alikuwa hamuelewi kabisa mume
wake ambaye Jumapili alimbadilikia kutoka na kile anachosema
↧
Flora Mbasha azungumzia tuhuma za mumewe kubaka.....Azungumzia jinsi alivyomkaba na kumtishia kumuua
↧