Raia wawili wa Kenya, Samweli Saitoti (Saimoo) na Michael Kimani
(Mike), wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia
ya kumuua polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), PC Michael Milanzi
mwaka 2007.
Raia hao ambao walipambana na polisi jijini Arusha
kwa saa sita wakijihami kwa silaha za kivita yakiwamo mabomu ya kurusha
kwa mkono na bunduki aina ya Sub Machine
↧