Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam ambalo linateketea na moto usiku huu.
Taarifa zilizotufikia katika meza ya habari usiku huu zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika kasi na
↧