Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imewabadilishia mashtaka washitakiwa watatu katika kesi ya marehemu, Nasra Mvungi (4) waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya kula njama na kufanya ukatili, sasa wanashitakiwa kwa kosa la kusababisha kifo cha mtoto huyo.
Watuhumiwa waliofikishwa, mahakamani hapo jana ni pamoja na baba mzazi wa Nasra, Rashid Mvungi (47), mkazi wa Lukobe na
↧