Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es salaam ilisitisha
kwa muda shughuli zake baada ya zomeazomea iliyosababishwa na umati
mkubwa wa watu waliofika mahakamani hapo kushuhudia kesi inayomkabili
Amina Maige aliyeshitakiwa kwa kosa la kumjeruhi binti kwa kumng'ata na
kumuunguza kwa pasi ....
Ndivyo hali ilivyokuwa katika mahakama hiyo mara
baada ya mtuhumiwa huyo kufikishwa
↧