WAKATI mwili wa askari polisi mwenye namba, D 9887 Koplo Joseph Ngonyani wa Kituo cha Polisi Mkamba, Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani ukisafirishwa leo kwenda mkoani Songea baada ya kuuawa na watu ambao wanadhaniwa kuwa jambazi, majeruhi mmoja kati ya wawili Venance Francis ambaye ni mgambo, naye amefariki dunia.
Francis ambaye naye alijeruhiwa katika tukio hilo baada ya watu hao kuvamia
↧