Lori la
kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel
limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine
katika eneo la igurusi wilayani mbarali.
Ajali hiyo imetokea ikihusisha lori lenye namba za usajili T417
ABF, mali ya kampuni ya Camel oil ambalo lilikuwa likisafirisha lita
35,000 za mafuta aina ya diesel kutoka jijini Dar es salaam
↧