Taarifa tulizozipata ni kuwa Bomu limelipuliwa baada
ya mhadhara wa ndani ya msikiti huko Unguja na kuua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Muhammad
mkombolaguha. Sheikh Abulfadh'li Qassim ambaye anadaiwa kuwa mlengwa wa
shambulio hilo amejeruhiwa mkono na mguu na yupo akipatiwa matibabu hospitalini .
Tutaendelea kukuhabarisha tukipata habari mpya kuhusiana na sakata
↧