Video vixen Agnes Gerald a.k.a Agnes Masogange amefunguka kuhusu
matatizo aliyoyapata mwaka jana baada ya kukamatwa uwanja wa ndege wa
Or-Tambo, Afrika Kusini (July 5 2013) na mzigo uliosemekana kuwa ni dawa
za kulevya.
Agnes ni miongoni mwa Watanzania waliokwenda Durban, Afrika Kusini
kumsupport Diamond Platnumz katika Tuzo za MTV (MAMA) weekend iliyopita,
na Bongo5 ilipata nafasi
↧