Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 amekutwa amening’inizwa juu ya
mti katika kijiji kimoja Kaskazini mwa India, likiwa ni tukio la tatu
kutokea ndani ya wiki moja katika Jimbo la Uttar Pradesh.
Mwili wa mwanamke huyo umekutwa katika eneo la Moradabad ambapo
familia yake imewaambia polisi kuwa alibakwa huku uchunguzi wa madaktari
ukiendelea kufanyika.
Mwanamke mwingine
↧