Hali ilikuwa tete usiku wa kuamkia leo katika mabanda ya Wamachinga
eneo la Soko Karume , Ilala jijini Dar baada ya kutokea
moto mkuwa na kuteketeza mabanda yote ya wafanyabiashara eneo hilo.
Fire
walifika katika eneo la tukio na kuondoka baada ya kukubali kushindwa
kuzima moto huo. Nguzo za umeme zimeungua pia.
Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni sehemu ya Mama ntilie
↧