Oribe Peralta akiipatia bao Mexico katika dakika ya 61 ya mchezo.
Cameroon wameanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kukubali
kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mexico kwenye mechi iliyopigwa usiku
nchini Brazil.
Bao la Mexico limefungwa na Oribe Peralta katika dakika ya 61 ya mchezo.
<!-- adsense -->
↧