Robin Van Persie akimlamba
chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao
la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia.
*******
Mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania wamerudishwa darasani
na Waholanzi waliokuwa na hasira ya kulipiza kisasi cha kufungwa kwenye
fainali ya mwaka 2010 kwa kupokea kichapo cha aibu cha mabao matano kwa
↧