WATU 48 wameripotiwa kuuawa, hoteli mbili, kituo cha polisi na kituo
cha mafuta kuchomwa moto baada ya shambulio lililotokea eneo la
Mpeketoni, Lamu nchini Kenya jana usiku.
Kituo cha Polisi cha Mpeketoni, hoteli ya Breeze View na Taweel
ndivyo vilivyochomwa moto na moshi ulikuwa bado unafuka leo asubuhi .
Imeelezwa kuwa washambuliaji walitokomea na silaha na magari ya polisi kutoka
↧