Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya Facebook
ime-hack-iwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka
waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.
Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hack-iwa.
Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
↧