SAKATA la tuhuma za ubakaji zinazomkabili mume wa Flora Mbasha sasa limechukua sura mpya baada ya maovu yao mengine kuanikwa hadharani na ndugu wa Flora.....
Msichana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Cathy ambaye ni dada binamu wa Flora amedai kuwa kinachowatafuna wawili hao ni laana waliyoipata kutoka kwa babu wa Flora, marehemu baba
↧