Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amemshukia Leticia Nyerere
(Viti Maalumu-Chadema) kwa kumtaka aende CCM kwa sababu bado Mwenyekiti
wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete ana nafasi za kuteuwa wabunge.
Hadi
sasa Rais Kikwete ameshateua wabunge wanane kati ya nafasi 10 alizopewa
kikatiba.
Mdee aliyasema hayo jana alipokuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka
↧