Zikiwa siku chache zimepita tangu kesi ya Emmanuel Mbasha ambaye ni mume wa
mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha ianzwe kusikilizwa kwenye mahakama
ya wilaya ya Ilala Dar es salaam ,baadhi ya wadau wametoa ya
moyoni juu ya kesi hii.
Miongoni
mwa watu walioguswa na kutoa ya moyoni ni muongozaji wa filamu
mbalimbali Tanzania Wiliam Mtitu ambaye katika ukurasa wake wa Instagram
↧
Maneno ya Director Mtitu kuhusu Kesi ya Emanuel Mbasha na Roho ya Kikatili aliyo nayo Flora Mbasha
↧