Serikali ya Uganda imekifungia kituo kikubwa cha Televisheni cha nchi
hiyo NTV kuripoti habari zozote zinazomhusu Rais baada ya kurusha
hewani picha zinazomuonyesha Rais Yoweri Museveni amesinzia bungeni.
Mkurugenzi wa kituo cha habari za serikali Dennis Katungi amenukuliwa
akisema: “Rais ana tabia zake wengi mnajua, huwa anatafakari na
wanajua lakini bado wameonyesha picha hizo na
↧