Mwanamke mmoja mkazi wa Kintinku, Wilayani Manyoni mkoani Singida amejikuta akimwaga machozi baada ya kujifungua mtoto mwenye kichwa cha ajabu ( tepe tepe).
Tukio hilo limetokea jana asubuhi katika hospitali ya Kintinku Health Center iliyopo Wilayani Manyoni.....
Akiongea na Mpekuzi kwa sharti la kutotajwa jina lake kwa madai kuwa yeye si
↧