Mwanamitindo Jokate Mwegelo ameibuka na ubunifu mpya
wa sabuni ya kuogea inayokwenda kwa jina la Mo yenye sura yake. Dili hili amelipata ikiwa ni baada ya
kutesa na bidhaa ya ndala iliyokuwa na sura yake pia.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Jokate alisema uzinduzi wa
sabuni hiyo unatarajiwa kufanyika leo Jumatano, Juni 18, mwaka huu
ambapo yeye na timu yake watatembea
↧