Inawezekana hili likawa moja kati ya maswali uliyonayo na hujawahi
kupata nafasi ya kumuuliza muhusika au inawezekana ikawa ni ishu ambayo
umewahi kuisikia au kuisoma kwenye chombo chochote cha habari.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambae ni mtoto wa Rais wa
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye exclusive
interview na millardayo anasema:
"Kuwa mtoto wa Rais
↧