1. Orodha ya majina ya wafuatao, ni wasailiwa waliopita awamu ya kwanza ya usaili wa kuandika (Aptitude test).
2. Usaili wa awamu ya Pili ni wa ana kwa ana (Oral interview). Utafanyika katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga kwa tarehe zilizopangwa kuanzia saa 1:30 Asubuhi.
3. Kila msailiwa anaelekezwa kufika na vitu vifuatavyo:-
cheti halisi cha kuzaliwa
vyeti halisi vya shule
↧