Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema vijana 10,500
waliojitokeza hivi karibuni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
kufanya usaili wa nafasi 70 za kazi katika Idara ya Uhamiaji, ni ishara
kuwa bomu la ajira litalipuka muda wowote.
Akizungumza na waandishi wa habari jana nje ya
Viwanja vya Bunge, Lowassa alisema Serikali ni lazima ihakikishe
inatengeneza ajira kwa kuwa
↧