Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16 2014 kwenye kijiji cha Mdui kata
ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa mtwara liliokotwa na
watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo la makaburi.
Taarifa ilitolewa Polisi baadaye ambapo baada ya wataalamu kuja na
kuchunguza waligundua ni bomu la kurusha kwa mkono ambalo lina namba TNT
MORTAR BOMB 60MM,LOT SOL 618 ambapo Polisi kwa
↧