Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana naye.
Wabunge
wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na
kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa
Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua
kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..
↧