Uchunguzi
umeanza leo asubuhi kujua chanzo cha kuzuka kwa moto karibu na hostel za
wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) usiku wa kuamkia leo. Athari za moto huo
bado hazijajulikana.
Wakaazi
wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni
huko kwa kasi, na miali mikubwa ya moto kuonekana katika
↧