Siku chache baada ya mpenzi wa Zuwena Mohamed 'Shiole' Nuhu Mziwanda kuweka kwenye mtandao wa 'instagram' picha zikionyesha tatoo aliyojichora yenye jina la mpenzi wake huyo, wadau wa filamu nchini wamesema kijana huyo atakuja kujuta siku akitemwa na kubaki na alama zake hizo kama kumbukumbu.Wakizungumza na mwanahabari wetu kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema kuwa Shiole aliwahi
↧