Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa
jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 200
wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram.
Mwimbaji huyo ambaye anafahamika sana kwa comments zinazotengeneza mijadala hudai kuwa yeye ni bikira.
Mwisoni mwa wiki hii ameiambia Showtime kuwa anajitoa yeye kwa kundi
la Boko Haram kama inawezekana
↧