Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es
Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na
majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally ‘Mgosi wa
Ndima’ kudai amemfumania Baba Eliza akiwa na mkewe ambaye jina
halikupatikana.
Tafrani hiyo ilijiri usiku wa Jumatano iliyopita, Juni 18, mwaka huu kwenye nyumba yake iliyopo
↧