Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.
Majambazi watatu wamemuua kwa kumpiga risasi kichwani Mhasibu
wa Kanisa Katoliki, Usharika wa Makoka, jijini Dar es Salaam, Sista
Prisencia Kapuli na kisha kumpora fedha zinazokadiriwa kuwa zaidi ya Sh milioni
10 alizokuwa nazo.
Tukio hilo ni la jana saa 9 alasiri katika
eneo la Ubungo Riverside wakati Prisencia, mtawa mwenzake pamoja na dereva
↧