Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za
Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika.
Uchaguzi
umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya
Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.
Yafuatayo ni Majina ya Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na Kuchaguliwa Kujiunga na Vyuo vya Ufundi 2014
----------
↧