Takriban watu watano wameuawa katika shambulizi jingine katika eneo la pwani ya Kenya usiku wa kuamkia leo.
Mauaji hayo yametokea karibu na eneo ambako
mashambulizi mengine yalifanyika wiki jana na kusababisha vifo vya watu
zaidi ya sitini
Maafisa wanasema kuwa kundi la watu waliokuwa wamejihami walivamia
kijiji cha Witu ambacho kiko umbali wa kilomita 15
↧