Meriam akiwa na mwanaye Maya,
kushoto ni mumewe Daniel Wani aliyempakata mtoto wao wa kiume Martin na
wadau waliopigania mama huyo kuachiwa huru kabla ya kukamatwa tena
***
Mwanamke Meriam Ibrahim aliyeachiwa huru juzi baada ya kuhukumiwa
kifo kwa kosa la kuolewa na mwanamume mkristo na kukana dini ya
kiisilamu amekamatwa tena akiwa na mumewe pamoja na watoto wawili katika
uwanja wa
↧