Mwanamuziki Diamond amefunguka kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kuwa aliwaibia idea au nyimbo zao na kuzifanya zake.
Ameeleza kuwa malalamiko yao hayana ukweli kwa kuwa kuna maneno
ambayo yamezoeleka na yanaweza kutumiwa na watu wote lakini anapoyatumia
hutokea msanii aliyetumia maneno kama yale na kudai kuwa ameiba idea
yake.
Ametoa mfano wa nyimbo kama Moyo Wangu ambao anasema
↧