Mkutano
Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea
na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura
zilizopigwa.
Mkutano
huo pia umemchagua Prof. Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF Taifa
kwa kupata kura 659 sawa na asilimia 95.5 na kumshinda mpinzani wake
Chifu Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na asilimia 4 nukta 3.
↧