Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel
Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake.
Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Posta, jijini Dar katika
Studio za Amaya ambayo ni saluni inayotumika kurekodia vipindi
mbalimbali vya Mkasi vinavyorushwa kupitia Runinga ya
↧