Baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa
kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliyekua
anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa watu wake.
"Tusipopenda kukubali matokeo na ushindi wa wenzetu basi daima
hatutaweza kuwa washindani, muhimu ni kujua wapi tulipotoka na wapi
tulipo leo.
"Katika nchi zaidi ya 20 zenye wasanii
↧