Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekanusha taarifa zilizosambazwa kuwa vijana wa mujibu wa sheria, wanaoendelea na mafunzo katika kambi za JKT, kuwa wanakufa kwa ukatili.
Hayo yalisemwa jana na Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Erick Komba wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Alisema taarifa hizo potofu zimesambazwa kwa
↧