GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi
karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha
kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake.
Akiwa ndani ya Ukumbi uliopo ndani ya Hoteli ya Serena, Posta jijini
Dar, Lulu alionekana amevalia gauni refu lakini pembeni likiwa na mpasuo
mkubwa ambapo kila alipokaa, mapaja yake
↧