Maonesho ya 38 ya sabasaba yanaendelea katika eneo la
Sabasaba, Dar es Salaam. Makampuni, vikundi na watu mbalimbali wamefika
kwa wingi kuonesha bidhaa zao kwa mtindo utakaowawezesha kuwa karibu
zaidi na wateja wao.
Kundi la Ucheshi la ‘Original Comedy’ linaloundwa na wachekeshaji
kama Joti, Masanja Mkandamizaji, Wakuvanga, Mpoki na Mack Regani
limeanzisha mgahawa halisi kwenye
↧