Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania leo
imepokea taarifa kutoka ubalozi wa Libya nchini ikieleza kuwa aliyekuwa
Kaimu Balozi wa Libya Bw. Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa
kujipiga risasi.
Taarifa hiyo ya ubalozi imeeleza kuwa kifo hicho kimetokea majira ya
saa saba mchana ofisini kwa Kaimu Balozi huyo katika jengo la Ubalozi wa
Libya ambapo
↧