Ripoti ya wanasaikolojia inaeleza kuwa mwanariadha Oscar
Pistorius yuko kwenye hatari ya kujiua kwa kuwa ana matatizo makubwa ya
kisaikolojia hivi sasa.
Ripoti ambayo ilisomwa na mwanasheria wa upande wa utetezi inaeleza
kuwa Ocar Pistorius alikuwa akiombeleza kifo cha girlfriend wake Reeva
Steenkamp aliyemuua kwa kumpiga risasi.
Hata hivyo ripoti ya Jumatatu ya madaktari iliyosomwa
↧