Kwa mujibu wa mdau aliyeshuhudia tukio lote hilo live anatupasha:
Ishu
ilikuwa hivi, kuna gari ndogo ilikuwa inatokea njia ya Kawe kwenda
Shopperz au ilikuwa inaelekea mjini kwa kutumia hii njia ya Mwai Kibaki
road.
Hiyo gari ndogo ilipofika Maeneo ya Million Hairs Salon jirani kabisa na
Regency park hotel ikakwama kwenye foleni ndefu sana. Nyuma ya hiyo
gari ndogo kulikuwa na
↧