Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba Rwanda na Tanzania ni mataifa
ndugu na yataendelea kuwa ndugu kwa sababu yanachangia undugu huo.
Rais Paul Kagame ameyasema hayo mjini Kigali kwenye kikao na waandishi
wa habari.
Hata hivyo ameonya kwamba Rwanda itapambana na yoyote anayeshirikiana na FDRL. Amesema dunia hii ni ya ajabu maana inawasikiliza na kuwatunza wauaji halafu
↧